Habari za Punde

Mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Bububu kwa Chama cha ADC Arejesha Fomu

 MGOMBEA Uwakilishi katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Bububu kupitia chama cha ADC, Zuhura Bakar Mohammed (kushoto) akirejesha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo, Ali Rashid Suluhu baada ya kukamilisha taratibu za ujazaji huko katika ofisi za tume hiyo zilizopo Maisara mjini Zanzibar
 Wanachama wa Chama cha ADC swakiwa katika msafara wa magari wakirudi kumshindikiza mgombea wao akurejesha fomu Tume ya Uchaguzi Zanzibar kugombea Uwakilishi Jimbo la Bububu, wakipita mitaa ya darajani kwa shangwe na nderemo.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.