Habari za Punde

Zoezi la Sensa ya watu na makaazi likiendelea Mkoa wa Kusini Unguja


~Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Makungu Mgongo akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na zoezi la Sensa ya Watu na Makaazi ambapo hadi sasa linakwenda vizuri katika Wilaya hiyo.

Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Zainab Maulid Haji akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.

Karani wa Sensa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Ali Mjaka akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.

Karani wa Sensa Wilaya ya Kati Unguja Mwanaisha Ufuzo akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.

Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Ali Kassim Mohd (wapili kutoka kushoto)akipata maelezo kwa Msimamizi wa Sensa shehiya ya Marumbi Mwanahawa Shadhil Shauri kuhusiana na maendeleo ya zoezi la Sensa katika Shehiya hiyo.

Karani wa Sensa Wilaya ya Kati Unguja Hassan Mussa Suleiman akiendelea na kazi ya kuwaandika watu katika hali ya Usalama na Amani na kupata ushirikiano mkubwa kwa wananchi.

 PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.