Habari za Punde

Mafunzo ya Uongozi kwa Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar. Habari m

 Muwezeshaji wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari Zanzibar wa Jumuiya Habari za Maendeleo Zanzibar, Rashid Ali  akitowa mafunzi hayo kwa Viongozi na Wanachama wa Jumuiya hiyo jinsi ya kuongoza jumuiya yao na kupata mafanikio ya kuiendeleza jumuiya, mafunzom hayo yameandaliwa na Baraza la Habari Tanzania, yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi za MCT jengo la Bombay Bazaar mlandenge.
 Waandishi wa habari wakimsikiliza Muwezeshaji akitowa mafunzo ya Uongozi kwa Wanachama wa Jumuiya ya Habari za Maendeleo Zanzibar, yaliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Baraza la Habari Tanzania jengo la Bombay Bazaar Mlandenge.
 Mwanachama wa Jumuiya ya WAHAMAZA Jabir Idrisa akiuliza katika mafunzo hayo ya Uongozi kwa Waandishi wa Habari ya Maendeleo Zanzibar.
 Suleima Almas, akichangia mada ya Uongozi kwa Jumuiya yao wakati wa mafunzo ya Uongozi kwa Wanachama wa Jumuiya ya Wanandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar.( WAHAMAZA)
Mratibu wa Baraza la Habari Tanzania Shifaa Said akifunga mafunzo ya Uongozi wa Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar, yalioandaliwa na MCT. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.