Habari za Punde

Dk Bilal awajuulia hali wazee wa Mkokotoni Mkoa wa kaskazini Unguja

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha Bilal, wakitoka ndani kwa Haji Machanu, Mbalungini Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo Desemba 23, 2012
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo Desemba 23, 2012. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana na umri
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia kumbeba mtoto, Rajab Abdulhamid Rajab (meizi 8), wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo Desemba 23, 2012, katika Kijiji cha Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Haji Machanu Ngwali, Mkazi wa Mbalungini, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo Desemba 23, 2012.

 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki kuomba dua na Mzee Juma Muhidin Mohamed, Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati alipomtembelea kumjulia hali wakati akiwa katika ziara yake ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo Desemba 23, 2012. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa miguu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mzee Maalim, Sheha Haji Machame, Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo Desemba 23, 2012. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuuma kwa miguu
 
Picha na OMR

3 comments:

  1. Ni jambo jema na viongozi wengine wanatakiwa kuiga mfano wake!

    ReplyDelete
  2. Salaaam,

    Ni jambo bora imeshabihiana na kazi za makhalifa wa kiislaamu kupitia kuwakaguwa watu wao.

    Lakini inasikitisha kuwaona wananchi wanavyoishi hali duni lakini viongozi wapu hali ya juu juuu juuuu zaidi kama chama tawala kilivyo.



    ReplyDelete
  3. Tuone baada ya kuiyona hiyo hali yao duni ya maisha pamoja na mogonjwa nini kitafatia.Suala amekwenda binafsi au kama kiongozi?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.