Habari za Punde

India yatimiza miaka 64 ya Uhuru wake.

 
  Balozi Mdogo wa India Nchini Zanzibar Pawan Kumar akipandisha Bendera ya India katika Ofisi za Ubalozi wa India Migombani Zanzibar, ikiwa  ni kuashiria maadhimisho miaka 64 ya Uhuru wa Taifa la India.
 Wananchi wenye asili ya Asia wakisimama kutowa heshima wakati ikipandishwa Bendera ya India na Balozi Mdogo wa India Nchini Zanzibar Pawan Kumar katika viwanja vya Ubalozi huo Migombani Zanzibar.
 
 
 Balozi Mdogo wa India aliyeko Zanzibar akisoma Hutuba kwa niaba ya Rais wa India ikiwa ni maadhimisho ya Miaka 64 ya Uhuru wa India, zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.


 



Wananchi wenye asili ya India wanaoishi Zanzibar wakihudhuria sherehe za miaka 64 ya Uhuru wa India.
 

 Balozi Mdogo wa India Zanzibar Pawan Kumar, akisalimiana na Viongozi wa Madhehebu ya Bohora walioko Zanzibar walijumuika katika sherehe hiyo.iliofanyika katika viwanja vya Ubalozi wa India Migombani Zanzibar. 
 Balozi Mdogo wa India ZanzibarPawan  Kumar. akisalimiana na Kiongozi wa madhehebu ya Hindu wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Taifa la India.Wa. 
 Wananchi wa Zanzibar wenye asili ya India wakisherehekea Siku ya India (On The EVE Of 64 Republic Day Of India ) baada ya kusomwa hutuba ya katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.