6/recent/ticker-posts

Meli ya Azam Sea Link 1 ikiwa katika bandari ya Zanzibar.



 Meli ya Kampuni ya Azam Marine ambayo hutowa huduma ya Usafiri kwa Wananchi wa Visiwa vya Unguja ,Pemba na Dar-es-Salaam, ikiwa katika bandari ya Zanzibar ikishusha mizigo ikitokea Dar-es-Salaam. 

Post a Comment

0 Comments