Habari za Punde

Ujumbe wa Baraza la wawakilishi ulipofika Ofisi ya tume ya kuratibu maoni ya katiba

 Spika wa Baraza la Wawakiliishi Mhe Pandu Ameir Kificho akizungumza na Mwenyekiti wa tume ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba. Kushot no Katibu wa timu ya kuratibu Maoni Asaa Rashid
 Ujumbe wa Baraza la wawakilishi ukiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kuraatibu maoni Katiba mpya
Spika wa Baraza la wawakilishi akifafanua jambo kwa Katibu wa tume ya kuratibu maoni Asaa Rashid wakati ujumbe wa Baraza la Wawakilishi ulipofika ofisi ya tume kutoa maoni

1 comment:

  1. asalaam alaykum, Admin naomba tuwasilianae nimejaribu kukutumia email haikubali me nipo out side of tz (zenjibarza@gmail.com)
    http://zenjibarza.wordpress.com
    http://uwelenizone.blogspot.com

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.