Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, akiwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Wilaya ya Mjini katika viwanja vya Tawi la CCM Urusi Jumba la Vigae Jangombe., akiwataka wanaCCM kuwa imara katika kutowa maoni yao katika kuunda kwa mabaraza la Katiba
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akiwahutubia.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika viwanja vya Mkutano wa CCM jangombe.
No comments:
Post a Comment