Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ALhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Sheikh Alhad Mussa Salum,alipowasili katika msikiti Masjid majmuatil Islamia,wa Temeke mwisho kuhudhuria katika maulid ya Mtume Muhamad SAW.
Wanamadrasatul Az-har ya Koma Kisiwani Dar es Salaam,wakisoma Qaswida
Ya swalatu Alan Nabii,katika Maulid ya Kumswalia Mtume Muhammad
SAW,yaliyofanyika jana katika Msikiti Masjid Majmuatil Islamia,wa
Temeke mwisho.
Sheikh,Dk.Usama Mohammed Esmail,kutoka nchini Misri akitoa mawaidha wakati wa Maulid ya Mtume Muhammad SAW,yaliyofanyika jana katika Msikiti Masjid Majmuatil Islamia,wa Temeke
mwisho,yaliyohudhuriwa na Viongozi wa Dini mbali mbali,na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiwaongoza Viongozi mbali mbali wa Dini na Serikali katika Maulid ya Mtume Muhammad S.A.W yaliyofanyika jana katika Msikiti Masjid Majmuatil Islamia,wa Temeke mwisho
No comments:
Post a Comment