Habari za Punde

Waziri Samia akutana na Balozi wa Uingereza Bi DIANNE MELROSE.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchni Tanzania, Diana Melrose, wakati alipofika Ofisini kwa Waziri Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo.( Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.