Habari za Punde

Mambo ya Embe Keri

Mdau mambo ya embe kery wakati wa enzi zetu tukiwa skuli ya kidutani pale chini ya mshelisheli wazee wakiwa na biashara hiyo na nyengine nyingi bado watoto wetu na ndugu zetu wanafaidi embe kery wakiwa katikamaeneo ya skuli ya kajificheni  na hamamni wakijipatia embekery. naona unamezea mate kutokana na sifa za embe ukiona huvutiwa na kujaa na mate mdomoni. kazi kwako  mdau.   

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.