Ziwa la Mwanakwerekwe kwa wawekezaji na wahandisi linaweza kuwa sehemu moja nzuri ya kupumzika kama bustani hii.
Wazanzibari tukiamua tunaweza kuligeuza ziwa la Mwanakwerekwe na kuwa kama bustani hii
Miongoni mwa mazuri ya kuiga ni kuwa na bustani kama hii ya Bridavan iliyopo jimbo la Karnataka, mji wa Mysore, India. Mwandishi wako Mohamed Muombwa
madhwalim hao unategemea nini kwani unafikiri hawaoni mambo kama hayo mazuri mazuri, badala wakija huku kuja kuiga mambo wao wanakuja kutembea tu na shopping basi wakirudi huko uongo mwingi tu
ReplyDeletenakubaliana na mchangiaji hapo juu, wanaweza kuwa na fedha za kujenga minara ya kumbukumbu isio na manufaa yoyote
ReplyDelete