Habari za Punde

Hatimae timu ya Taifa ya Zanzibar, yawasili baada ya kukwama kwa Muda mrefu nchini Kenya Baada ya kutolewa katika Michuano hiyo.

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ikiwasili jioni hii ikitokea Nchini Kenya ilikoshiriki michuano ya Chalenji na kutolea hatua za mwazo. Ilikwama nchini huo na kupata misukosuko na kuchelewa kurudi nyumbani na mitihani mingi iliowakuta huko.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Bihindi Hamad akisalimiana na Mkuu wa Msafara wa timu hiyo Bi Faida baada ya kuwasili Zanzibar jioni hii.
Meneja wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Hashim Salumakisalimiana na Naibu Waziri wa Habari Bihindi Hamad, walipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar wakitokea nchini kenya. 
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Salum Bausi akisalimiana akisalimiana na Naibu Waziri Bihindi


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.