Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zenj

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akizungumza na Wajumbe wa Baraza, nje ya ukumbi wa mkutano katikati Mwakilishi wa Kwamtipura Hamza Hassan Juma na Mwakilishi wa Micheweni Subeti Khamis Faki.
 Mwanasheria Mkuu wa Serekali Othman Masoud na Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa na kujadiliana jambo baada ya kuchangia mswada wa Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu kuhusiana na uharibifu wanmazingira Zanzibar.

 Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu  Zanzibar Issa Haji Gavu akifurahia jambo wakati akitoka katika ukumbi wa mkutano wa baraza .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.