Habari za Punde

Mchezo wa Nage kusherehekea miako 50 ya Mapinduzi

 Michukuano ya kusherehekea maadhimishi ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mchezo wa Nage inayowashirikisha Vijana wa Majimbo ya Wilaya ya Mjini yamekuwa kivutio kwa wapenzi wa mchezo huo wakifuatilia mchezo kati ya Jimbo la Rahaleo na Kikwajuni mchezo uliofanyika katika kiwanja cha Komba Wapya Kijangwani. Timu ya Rahaleo imeshinda katika mchezo huo. 




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.