Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha Tanzania Saada Mkuya, akiangalia Kitabu cha Hadithi kilichotungwa na Mzee Haji Gora, wakati wa kuzinduwa maonesho ya Wajasiriamali Wanawake katika viwanja vya michezani kisonge.
Bidhaa zinazozalishwa na Wajasiriamali Zanzibar wakionesha katika maonesho yaliozinduliwa na Naibu Waziri waFedha Tanzania Saada Mkuya katika viwanja vya michezani kisonge Zanzibar.
Wajasiriamali wakimsikiliza Naibu Waziri wa Fedha Saada Mkuya kiwahutubia na kutowa nasaha zake kwao kuendeleza bidhaa zao na kuingia katika Soko la Ushindani la Biashara la Afrika Mashariki kuweza kupata Soko la Bidhaa zao
No comments:
Post a Comment