Habari za Punde

TAMASHA LA KUPINGA RUSHWA "MIMI NI AFRIKA NA AFRIKA NI MIMI" LAFANA JANA JIJINI ARUSHA.

 Wasanii wa Kikundi cha ngoma wakitumbuiza wakati wa Tamasha la mimi ni Afrika,Afrika ni mimi
 Kikundi cha ngoma kikiendelea kutumbuiza



 Mshehereshaji wa Tamasha la mimi ni Afika,Afrika ni mimi Adam mchomvu akionge na wakazi wa arusha waliojitokeza kwa wingi kwenye viwnja vya general tyre.

 Adam mchomvu akifurahi na wakazi wa arusha
 Wakazi wa Arusha wakinyoosha mikono juu kama ishara ya kupinga rushwa.
 Msaniii chaba akiwaburudisha wakazi wa Arusha jana
 Msanii chaba na back voclist wake wakiendelea kutawala stji jana kwenye viwanja vya general tyre
 Nasty Nastyyyy msaniiii chaba akiimbaaaa jukwaaani
 Msanii Joh makini akiwa kwa steji akiwaburudisha wakazi wa Arusha jana kwenye Tamasha la kupinga Rushwa mimi ni afrika na afrika ni mimi.
 Kundi la weusiiiiii wakikamata steji vilivyo jana kwenye viwanja vya general tyre


 Sema beiiii ya mkaaa,bei ya mkaaaa kundi la weusi wakiwaimbisha wakazi wa arusha jana kwenye Tamasha la kupinga Rushwa la mimi ni afrika na afrika ni mimi



 Dogo janja akiwa kwa steji akiwarusha mashabiki
 Kundi la jambo Squadwakirukaaa kingarerooooo na mashabiki wao
 Machaliii machaliiiii wa araaaaa hivyo ndio ilikuwa ikisikika wakati jambo squad wakifanya yao jukwaaani.
 Msanii stamina akiwa kwa steji akiwarusha mashabiki

Lile tamasha la kupinga matumizi ya Rushwa na utoaji limefana sana jana Jijini Arusha kwenye viwanja vya general tyre.Kauli mbiu ya tamasha hilo ilikuwa "RUSHWA SIO" na kubebwa na ujumbe mzito wa mimi ni afrika na afrika ni mimi.
Dhumuni kubwa la tamasha hilo ilikuwa ni kutoa elimu kwa wanainchi juu ya madhara ya utoaji na upokeaji rushwa,kiingilio ilikuwa ni bure kabisaaa.Sambamba na elimu iliyotolewa viwanjani hapo pia wakazi wa Jiji la arusha walipata nafasi ya kupata burudani ya kufa mtu kutoka kwa wasanii kama izo b,stamina,weusi,chindo man,roma,fid q,linah,naziz na vanessa mdeee.
  PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ SEK BLOG

1 comment:

  1. Selenunda anasema Rushwa maisha hataisha Africa . Waafrika tuko rahisi (cheap).

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.