Habari za Punde

Ajali Barabara ya Kiembesamaki lakini Salama hakuna Mtu aliyejeruhiwa.

 Magari haya yakiwa katika eneo la jali hiyo mazizini ZRB, yakiwa katika mtaro wamaji machafu baada ya kupoteza muelekeo na kupata ajali hiyo.


 Wananchi wakiangalia Magari yaliokuwa yakifutana katika barabara ya kiembesamaki na kuacha njia na kuingia katika mtaro maeneo ya mazizini, kwa mujibu wamashuhuda wa ajali hiyo gari la nyuma aina ya Rav 4 kufunga breki wakati wakikata kona kuelekea barabara ya ZRB,na kupoteza muelekeo na kuingia katika mtaro huo na gari yambele ilikowa ikilivita kuiagukia kwa juu.

1 comment:

  1. Sisi hasa hiyo misingi inatakiwa iwe na mifuniko, kwetu hakuna ile tahadhar kablal athar serekali iko wapi?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.