Rais wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipofika kutoa pole Nyumbani kwa Marehemu Salmin Awadhaliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM)Magomeni Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) pamoja na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wengine walipofika kutoa pole kwa wafiwaNyumbani kwa Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) Magomeni Mjini Unguja leo
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawaker na Watoto Bi Zainab Omar Mohamed (katikati) pamoja na wake wa Makamo wa Pili wa Rais na Kinamama wakijumuika kwa pamoja katika maziko ya Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) nyumbani kwake Magomeni Mjini Unguja leo
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipofika kutoa pole kwa kizuka wa Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) nyumbani kwake Magomeni Mjini Unguja leo
Wananchi kutoka sehemu mbali mbali kike kwa kiume walijumuika pamoja katika maziko ya Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) nyumbani kwake Magomeni Mjini Unguja leo na kuzikwa kijijini kwao Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.],[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment