MATANGAZO MADOGO MADOGO

Friday, January 22, 2016

Breaking News Tume ya Uchaguzi Zanzibar Yatangaza Tarehe ya Marudio ya Uchaguzi Zanzibar.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jesha Salum Jecha atangaza Tarehe ya Marudio ya Uchaguzi wa Zanzibar  utafanyika tarehe 20-3-2016. siku ya jumapili. 

Na kusema wagombea watakuwa walewale waliogombea kwa Nafasi ya Urais wa Zanzibar, Wawakilishi na Madiwani. Akitangaza taarifa hiyo leo huko Afisini kwake Maisara Zanzibar.