Mjasiriamali wa matunda aina ya embe katika mji wa Zanzibar akijitayarisha kuweka sawa bidhaa hizo ili kuweza kupanga fungu moja la embe dodo huuzwa kati ya shilingi 1000/= kwa embe tatu na embe tano huuzwa shilingo 2000/= katika maeneo ya Zanzibar.
HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA YAVUKA LENGO MIAKA MITANO
-
Halmashauri ya Wilaya ya Geita, inajivunia kukusanya mapato yanayofikia
zaidi ya shilingi bilioni 10 mpaka hadi kufikia juni 20 2025 ambapo
inatafsiriwa ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment