Balozi wa Tanzania Nchini Msumbiji Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad alikutana na Mshauri wa Rais wa Msumbiji katika Masuala ya Uchumi na Maendeleo, Dkt. Mateus Magala na kuzungumza naye masuala mbalimbali ya ushirikiano katika Sekta ya Uchumi baina ya Tanzania na Msumbiji.
BFPL Yapanua Kiwanda, Yaimarisha Uzalishaji wa Vinywaji
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KAMPUNI ya Bakhresa Group (SSB) katika kuadhimisha miaka 50 tangu
kuanzishwa kwake, imefanya upanuzi wa kiwanda chake cha v...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment