Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Mgeni Rasmin Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya TET

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua mfumo wa TET/SOMA KWANZA TV, kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2025







 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.