Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni.
WANAJAMII MTWARA WAAPA KUPAMBANA NA NDOA ZA UTOTONI
-
Kivutio cha Mtwara
Na Mwandishi wetu, Mtwara
Wanajamii wilayani Mtwara vijijini wameahidi kuendelea na harakati za
kupambana na ndoa za utotoni ili kumko...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment