Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana na Padri Lucius wa hospitali ya Peramiho Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Peramiho, Dr Venance Mushi, alipotembelea hospitali hiyo asubuhi ya leo Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), wakiwa sehemu ya mapokezi, tayari kwa kupata huduma Mheshimiwa Ummy Mwalimu akiwafariji wagonjwa hospitalini hapo
TUME YA RAIS YA MABORESHO YA KODI YAKUTANA NA TRA
-
Tume ya Rais ya kukusanya maboresho ya Kodi ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti
wa Tume hiyo Balozi Maimuna Tarishi leo tarehe 16.05.2025 imekutana na
kufany...
No comments:
Post a Comment