Habari za Punde

Msimamo wa Ligi Kuu ya Soka Zanzibar 2015-2016

Ligi kuu ya soka Zanzibar ambayo bado inachezwa upande mmoja wa kisiwa cha Unguja inaendelea tena leo kwenye dimba la Amaan saa kumi alasiri.

Kwa mujibu wa ratiba leo hii kikosi cha Chuoni kitakwenda kuwakabili wazee wa kwala timu ya Miembeni.
Ili kukuweka sawa na mchezo huo nimekuwekea msimamo wa ligi hiyo kabla ya mchezo wa leo.             

POS
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
JKU
14
10
2
2
26
9
17
32
2
ZIMAMOTO
15
7
6
2
22
10
12
27
3
B/ SAILOR
15
7
4
4
16
14
2
25
4
KMKM
15
6
6
3
22
14
8
24
5
KVZ
14
7
2
5
15
15
-
23
6
MIEMBENI
14
6
4
4
15
15
-
22
7
MAFUNZO
14
4
7
3
12
10
2
19
8
KIPANGA
15
4
7
4
12
15
-3
19
9
KIMBUNGA
14
5
2
7
22
20
2
17
10
CHUONI
14
5
2
7
14
19
-5
17
11
JANG’OMBE
14
4
4
6
16
19
-3
16
12
KIJICHI
14
2
8
4
11
14
-3
14
13
POLISI
14
1
5
8
10
16
-6
8
14
MTENDE
14
1
3
10
6
29
-23
6
Jumla yabao 219 yameshafungwa kupitia michezo 99

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.