WANAFUNZI mbali mbali wa skuli ya Msingi Ndagoni
Wilaya ya Chake Chake, wakiwa makini kufuatia mada mbali mbali zinazohusiana na
maafa, wakati walipokuwa wakipatia taaluma hiyo kutoka Idara ya Maafa Pemba.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Ndagoni wakimsikiliza
Maratib wa Idara ya Maafa Pemba, Khamis Razak hayupo pichani wakati alipokuwa
akitoa aina za maafa kwa wanafunzi hao.(Picha
na Hanifa Salim, PEMBA.)
MRATIB wa Idara ya maafa Pemba Khamis Arazak akizungumza
na wanafunzi wa skuli ya Msingi Ndagoni, juu ya mambo mbali mbali ya kujikinga
na maafa wakati yanapotokea.(Picha na
Hanifa Salim, PEMBA.)
KAIMU Mkurugenzi wa kamisheni ya kukabiliana na
Maafa Zanzibar Makame Khatib Makame,akizungumza na wanafunzi wa skuli ya
ndagoni Msingi, juu ya kukabiliana na maafa yanapotokea.(Picha na Hanifa Salim, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment