Baraza la Manispa likiimarisha miundombinu ya maegesho ya magari katika Manispa ya Zanzibar kupunguza msongamano na uegeshaji wa magari ovyo katika baadhi ya barabara za Manispa ya Zanzibar, kama walivyokutwa wafanyakazi hao wakichora alama za maegesho ya magari katika jengo la Bima Unguja.
MKOA WA PWANI WAJIPANGA KUSHINDA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA 2025
-
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mei 22, 2025
Mkoa wa Pwani umejipanga kushinda katika mashindano ya kitaifa ya UMISSETA
na UMITASHUMTA, yanayotarajiwa kufanyik...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment