Habari za Punde

Dk Shein Afungua Mkutano wa Kongamano la Tatu la Watanzania Wanaoishi Nje ya Nchi Diaspora Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaaf Dk Salim Ahmeid Salim alipowasili katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Tatu la Diaspora Zanzibar.

Brass Band ya Jeshi la Pilisi ikipiga Wimbo wa Taifa kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora  uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kupigwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa Kongamano hilo la Diaspora Zanzibar. 

Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa wakisimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa Kongamano hilo.

Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa wakisimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa Kongamano hilo.
Washiriki wa Kongamano la Diaspora wakiwa wamesimama ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya Ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Kongamano la Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora.

Afisa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ndg. Mindi Kasiga akitowa maelezo wakati wa Kongamano hilo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Gavu akizungumza wakati wa Mkutano wa Tatu wa Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora. unaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.
Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano na Afrika Mashariki Balozi Dr. Augustine Mahiga akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar Dk Shein kuufungua Mkutano huo wa Kongamano la Diaspora linalofanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora katika Mkutano wa Kongamano la Tatu unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 
Washiriki wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar Dk Shein akifungua Mkutano huo. 
Wana Diaspora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa kuufungua Mkutano huo wa Tatu wa Diaspora Zanzibar.
Wana Diaspora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa kuufungua Mkutano huo wa Tatu wa Diaspora Zanzibar. 
 Muwakilishi wa Watanzania wanaoishi Nje Diaspora Hussein Mustafa Nyanganyi akitowa salamu za Wanadiaspora walioko Nje wakati wa Kongamano hilo la Tatu linalofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
 Wana Diaspora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa kuufungua Mkutano huo wa Tatu wa Diaspora Zanzibar. 
Waandishi wa habari wakifuatilia Mkutano wa Kongamano la Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.