MJASIRIAMALI wa bidhaa za Vanila Kutoka Mtambwe
Wilaya ya Wete, Bakari Mataka akiwapatia begu za mti wa Mvanila, Wajasiriamali
kutoka Wilaya ya Micheweni wakati wa ziara ya kujifunza mambo yanayohusu Utalii
kwa Vitendo, katika utekelezaji wa sera ya Utalii kwa Wote.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MDHAMINI wa Kamisheni ya Utalii Kisiwani Pemba,
Suleiman Amour Suleiman, akipokea mche wa mti wa Mvanila kutoka kwa mjasiri amali wa Vanila kutoka Mtambwe Bakari Mataka.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment