Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA CANADA, THAILAND NA AUSTRIA LEO IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Austria  hapa nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Austria  hapa nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.