Habari za Punde

Baraza la Idd el Hajj Mkanyageni Pemba - 2

Add caption
 JENGO ambalo linatarajiwa kuwa skuli za sekondari lililopo Mkanyageni wilaya ya Mkoani Pemba, ambalo lilitumika kwa ajili ya baraza la Eid-el Hajji, lililohutubiwa na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe: Dk Ali Mohamed Shein, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 GWARIDE maalum lilioandaliwa kwa ajili ya kumkaribisha rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe: Dk Ali Mohamed Shein, kwenye baraza la Eid-el hajji Mkanyageni Mkoani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 MTANGAZAJI wa ZBC-redio Pemba Mchanga Haroub Shehe, akirusha matangaazao ya moja kwa moja kwenye baraza la Eid-el hajji, lililofanyika Mkanyageni wilaya ya Mkoani Pemba na kuhutubiwa na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, Mhe: dk: Ali Mohamed Shein, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: dk Ali Mohamed Shein akipokea gwaride la heshima kutoka kwa wapiganaji wa Jeshi la Polisi, lililoandaliwa kwa ajili yake, kabla na baada ya kulihutubia baraza la Eid lililofanyika Mkanyageni Mkoani Pemba, (Picha na Haji  Nassor, Pemba).
 VIONGOZI kadhaa waliohudhuria baraza la eid el-hajii lililofanyika Mkanyageni wilaya ya Mkoani na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar Mhe: Dk Ali Mohamed Shein, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwa na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume wakati wa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba
 Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe Bi Mwanajuma Majid ( katikati) akiwa na Kamishna wa Polisi Zanzibar Mhe Hamdan Makame pamoja na Spika wa Baraza la Wawkilishi Zanzibar, Mhe Zubeir Juma Maulid wakati wa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba
 WAZIRI wa Nchi afisi ya Rais, Katiba, Sheri, Utumishi wa umma na Utawala bora Zanzibar Mhe: Haroun Ali Suleiman akizungumza kwenye baraza la Eid-elhajji lililofanyika Mkanyageni wilaya ya Mkoani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Zanzibar Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein akizungumza kwenye baraza la Eid-elhajji lililofanyika Mkanyageni wilaya ya Mkoani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.