Habari za Punde

Kijana huyu Amepata Ajali ya Kuungua na Gesi Nchini Oman Wanatafutwa Jamaa Zake


Kijana huyu anayejulikana kwa jina ka Bakari Abdalla ambaye yuko Nchini Oman anafanya kazi kwa sasa amepata ajali ya kuunguzwa kwa moto wa gesi akiwa katika kazi na sasa yuko katika hospitali nchini humo kwa mujibu wa taarifa tulioyoipata ameathirika na ajali hiyo ya moto wa gesi na yuko katika chumba cha ICU akiendelea kupata matibabu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.