Tuesday, October 18, 2016

Eneo jipya kwa wafanyabiashara wa ChakechakeENEO ambalo mamlaka za wilaya ya Chakechake Pemba, imeshalitenga kwa ajili ya kuwaweka wafanyabiashara walioko soko la muda la ‘Katari’ ili wahamie eneo hilo la Michakaini ‘Kuweiti, ambapo kwa sasa hutumiwa kwa ajili ya mnada wa Ng’ombe pekee, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:
Write Maoni