Habari za Punde

Gari lapata ajali Chakechake



Gari aina ya Suzuki , ikiwa ilipata ajali katika eneo la Machomanne Chake Chake baada ya kugonga nguzo ya Umeme.

Gari aina Rav 4,ikiwa imepanda matufali baada ya kupata ajali na kukata nguzo ya Umeme huko katika eneo la Machomanne Pemba.

Picha na Ali Suleiman -Zanzibar leo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.