Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kiporo cha Black Sailor na Mafunzo Chawa Kero

Baadhi ya mashabiki wa Black Sailors walionekana kutoridhika na matokeo ya leo usiku uwanja wa Amaan baada ya timu yao kutoka sare ya bila kufungana na klabu ya Mafunzo.


Pambano hilo ambalo awali lilikua lisukumwe jana majira ya saa nane mchana dimbani hapo na kuvunjwa na mvua kubwa iliyonyesha limeufanya msimamo wa ligi kuu kusomeka kama ifuatavyo.


MSIMAMO LIGI KUU YA SOKA ZANZIBAR  (UNGUJA) 2016-2017
POS
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
JKU
11
8
3
-
18
4
14
27
2
ZIMAMOTO
11
5
4
2
15
11
4
19
3
POLISI
11
5
4
2
10
7
3
19
4
JANG’OMBE
11
4
6
1
14
9
5
18
5
MAFUNZO
11
5
2
4
12
10
2
17
6
CHWAKA
11
4
5
2
7
6
1
17
7
TAIFA J/MBE
11
5
2
4
10
10
-
17
8
MUNDU
11
5
2
4
11
15
-4
17
9
B/ SAILOR
11
3
6
2
10
8
2
15
10
KMKM
11
4
2
5
11
7
4
14
11
MIEMBENI
11
4
2
5
9
11
-2
14
12
KIJICHI
11
3
4
4
13
12
1
13
13
KIPANGA
11
4
1
6
10
11
-1
13
14
KILIMANI CITY
11
3
3
5
8
16
-8
12
15
MALINDI
11
3
2
6
6
9
-3
11
16
KVZ
11
2
4
5
6
11
-5
10
17
CHUONI 
11
1
6
4
6
10
-4
9
18
KIMBUNGA
11
1
2
8
6
15
-9
5
Jumla ya mabao 182 yamefungwa kupitia michezo 99

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.