Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azungumza na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dk.Tonia Kandiero alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na  Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dk.Tonia Kandiero alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu. 21/12/2016 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.