Habari za Punde

Timu ya Wilaya ya Wete U-17 Yaibuka Bingwa wa Michuano ya ZBC Watoto Mapinduzi Cup 2017 Kwa kuifunga Timu ya Wilaya ya Mjini Unguja kwa Mabao 5-3.

Timu za Wilaya ya Wete Pemba na ya Wilaya ya Mjini Unguja zilizofanikiwa kuingia Fainali ya Michuano ya Kombe la Watoto ZBC Watoto Mapinduzi Cup U-17 wakiwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar wakisubiri kuanza kwa mchezo wao wa Fainali uliofanyika Uwanja huo. Na Timu ya Wete kuibuka kidedea kwa mikwaju ya penenti 5-3 na kutawazwa rasmi kwa mara ya kwanza kwa kuanza kwa michuano hiyo ilioratibiwa na Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC chini ya Mkurugenzi wake Mkuu Bi. Imani  Duwe. kwa misingi ya kuinua kiwango vipaji vya mchezo huo kupitia kwa watoto mbali Zanzibar  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.