Habari za Punde

Wachezaji wa Timu za Simba na Jangombe Boys Wakipasha Misuli Kabla ya Mchezo wao Kuanza Jioni Hii Kuwania Nafasi ya Kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi CUP. Jioni Hii Uwanja wa Amaan Zanzibar.


Kocha Mkuu wa Timu ya Jangombe Boys Mohammed Seif  King akiingia Uwanja wakati Timu ya ke ikiwa uwanjani kujiandaa na kumenyana na Timu ya Simba kuwania nafasi muhuni kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi CUP. Ikiwa na Point 6 na Simba ikiwa na Pointi 7. 

Wachezaji wa Timu ya Simba ikipasha misuli kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa mwisho Kombe la Mapinduzi CUP kuwania nafasi ya kushiriki Nusu Fainali ya kombe hilo ikipambana na Timu ya Jangombe Boys. Timu ya Simba ikiingia Uwanjani ikiwa mkononi na Point 7, inaogoza kundi lake hilo ikufuatiwa na Jangombe Boys Taifa ya Jangombe zote zikiwa na pointi 6 kila moja na Timu ya URA ikiwa nav point 4 usiku inacheza na Taifa ya JangombeWapenzi wa mchezo wa mpira zanzibar wakisubiri mchezo wa Simba na Jangombe Boys unaochezwa jioni hii katika uwanja wa Amaan jioni hii.
Waamuzi wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Kati ya Jangombe Boys na Simba wakipasha misuli kwa ajili ya mchezo huo jioni hii uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Jangombe Boys wakipasha misuli kwa ajili ya mchezo wao wa mwisho wa kombe la Mapinduzi Cup kuwania nafasi ya kuingia Nusu Fainali michuano hiyo ya 11 ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.