Habari za Punde

Waziri Juma Ali Khatibu aweka jiwe la msingi kituo cha afya Junguni, Wete Pemba

 KIKUNDI cha Ngoma ya Msondo kutoka Kangagani Wilaya ya Wete, akitoa burudani wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi kituo cha afya Junguni Wilaya ya Wete, katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Said Abrahman, PEMBA).
 WAZIRI asiye na Wizara maalumu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe:Juma Ali Khatib, akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha Afya Junguni Wilaya ya Wete,
katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Said Abrahman, PEMBA).
 VIONGOZI mbali mbali Wizara ya Afya Zanzibar, wakiongozwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe;Harous Said Suleiman wa kwanza kushoto, wapili Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Halima M. Salum na Afisa Mdhamini Pemba Bakari Ali Bakari, wakiangalia Ngoma ya Msondo kutoka kangagani, katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Said Abrahman, PEMBA).
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe:Omar Khamis Othaman,akizungumza na wananchi wa Junguni Wilaya ya Wete, mara baada ya kuwekwa jiwe la msingi kituo cha Afya Jungini, katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Said Abrahman, PEMBA).
 NAIBU Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar, Mhe:Harous Said Suleiman, akizungumza na wananchi wa Junguni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, mara baada ya kuwekwa jiwe la Msingi katika kituo cha Afya Junguni, katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Said Abrahman, PEMBA).
WAZIRI asiye na Wizara maalum wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mhe:Juma Ali Khatib, akizungumza na wananchi wa Junguni mara baada ya kuweka kituo cha Afya Junguni, katika shamra
shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Said Abrahman, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.