Habari za Punde

Asya Idarous Anogesha VIP Reception Awards Gala Fairax Virginia.Warembo wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Jumamosi March 11, 2017 Fairfax, Virginia kwenye V.I.P. Reception Awards Gala iliyohudhuriwa na Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae
Mwanamitindo nguli wa kimataifa Asya Idarous Khamsi akiwa katika picha ya pamoja na 
Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae

 Mrembo akiwa katika vazi la mwanamitindo nguli wa kimataifa Asya Idarous Khamsi.
 Vazi kutoka kwa mama mitindo wa kimataifa Asya Idarous Khamsin.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.