Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Nne Boro Kati ya JKU na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Zimamoto Imeshinda Bao 1--0.

Mshambuliaji wa Timu ya JKU Suweid Juma mwenye mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu ya Zimamoto Suleiman Said, wakati wa mchezo wao wa fungua dimba ya Ligi hiyo ya Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Timu ya Zimamoto imeshinda bao 1--0.
Kocha Mkuu wa Timu ya JKU King akifuatilia mchezo huo wa Ligi Kuu ya Zanzibar wakati timu yake ikipambana na Timu ya Zimamoto katika Uwanja wa Amaan Timu ya Zimamoto imeshinda bao 1--0. 
Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Yussuf Ramadhani akimpita beki wa Timu ya JKU Edward Peter wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda bao 1--0. 
Mchezaji wa Timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika (mwenye jezi ya njano) akimiliki mpira huku beki wa Timu ya JKU Issa Haidar akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad Hilika akimpita beki wa Timu ya JKU Mwinyijuma Mwinyi, wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar Nane Bora uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda bao 1--0.
Mchezaji wa Timu ya Zimamoto na JKU wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda 
bao 1--0. 
Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu Zanzibar wakifuatilia mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Zanzibarv Nane Bora uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Kati ya Zimamoto na JKU.
Makocha wa Timu za Jku na Zimamoto Seif Bausi kushoto na Seif King wakipongezana baada ya mchezo wao kumalizika uliofanyika uwanja wa amaan zanzibar. Ukiwa ni mchezo wa Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.