Habari za Punde

Pemba inahitaji msaada wako

PEMBA INAHITAJI MSAADA WAKO WA KIBINADAMU KWA HARAKA.

Uongozi wa Taasis ya The Islamic Foundation kupitia idara yake ya Maafa unawaomba wananchi wote wa Tanzania bila kujali dini  wala makabila, kuchangia haraka iwezekanavyo ndugu zetu wa Pemba baada ya kukumbwa na mafuriko yaliosababishwa watu wengi kukosa makazi na wengine kuhama katika makazi yao. 

Hivyo basi Uongozi unawaomba kuchangia kupitia namba za simu zifuatazo

0767 627 284 MPESA
0785 627 284 AIRTEL MONEY.

Hakikisha Jina linatokea Radio Imaan.

Taarifa hii imetolewa na 
Ahmed Bawazir.
Chairman Aid Relief Committee. 
The Islamic Foundation.

https://youtu.be/4IeC_doOG48

www.islamicftz.org

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.