Habari za Punde

Wadau Watekeleza Ahadi Zao Kuchangia Sport 55 Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma akipokea mchango wa fedha uliotolewa ahadi siku ya uzinduzi wa Mpango wa kukuza michezo maskulini ujulikanao kw jina la Sport55, kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Kampuni ya Samos Ltd kupitia Hoteli ya Karafuu Zanzibar Ndg.Mkami Nyamhanga akikabidhi hundi ya shilingi milioni tano, kuchangia mpango huo,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Elimu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.