Habari za Punde

Waziri Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo amtembelea Mzee Haji Gora

 MSANII mkongwe wa ushairi na uandishi wa vitabu visiwani, Zanzibar mzee Haji Gora Haji, akionekana kwenye picha tofauti wakati akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Rashid Ali Juma na Naibu wake Bichumu Kombo Khamis pamoja na Mshauri wa Rais katika mambo ya utamaduni Chimbeni Kheri Chimbeni, walipomtembelea  Juni 14, 2017 huko Bububu Kihinani, anakouguzwa na wanawe. 

Mzee Gora amekuwa akisumbuliwa na maradhi wa muda mrefu na kusita shughuli zake za uandishi wa sanaa. (Picha zote na Yussuf Simai-MAELEZO, ZANZIBAR).
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.