MASHEHA na
Madiwani wa mkoa wa kusini Pemba, wakifuatilia mafunzo ya kutambulisha kazi za
wasaidizi wa sheria, kwenye mafunzo yaliotayarishwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika ofisini kwao mjini Chakechake,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
MRATIBU wa mafunzo ya kutambulisha kazi za
wasaidizi wa sheria, kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la
Pemba, Safia Saleh Sultan, akielezea lengo la mafunzo hayo, kwa masheha na
madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba, yaliofanyika ofisi ya ZLSC mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed, akielezea kazi na mikakati ya
kituo, kwenye mafunzo ya ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa
masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba, kwenye mafunzo yalifanyika Kituoni
kwao Chakechake, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
KAIMU Katibu tawala wilaya ya Chakechake,
Sheha Mpate Mtumwa, akifungua mafunzo
ya ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria, kwa masheha na madiwani wa Mkoa
wa kusini Pemba, kwenye mafunzo hayo yaliofanyika Kituoni kwao Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MTOA mada ya Ugatuzi wa madaraka Said
Makame Said, akielezea maana ya ugatuzi, kwa madiwani na msheha wa Mkoa wa
kusini Pemba, kwenye mafunzo hayo yaliotayarisha na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika osifini kwao mjini Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA
Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar
ZLSC tawi la Pemba, Khalfan Amour Mohamed, akigusia kipengele cha mamlaka ya
masheha kisheria, kwenye mafunzo ya kutambulisha kazi za wasaidizi wa sheria,
kwa masheha na madiwani wa Mkoa wa kusini Pemba, yaliofanyika Kituo cha Huduma
za Sheria Zanzibar ZLSC mjini Chakechake,(Picha
na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment