KAMA ILIVYOKUWA DESTURI YA WATANZANIA WAISHIO MAREKANI HAPO MIAKA YA NYUMA KUKUTANA WAKATI WA "LABOR DAY WEEKEND" NDANI YA WASHINGTON DC,SASA KUANZIA MWAKA HUU WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DMV WAMEAMUA KUIRUDISHA DESTURI HIYO KWA KUANDAA REUNION KABAMBE KWA STYLE YA KIPEKEE,IKIJUMUISHA MICHEZO YA WATOTO,WATU WAZIMA,CHAKULA,PAMOJA NA VIBURUDISHO KUTOKA KWA WASANII MBALIMBALI KUTOKA TANZANIA NA MAREKANI,HABARI KAMILI NA MPANGO MZIMA KUFUATA ILA KWA SASA WATANZANIA WOTE WAANZE KUJIANDAA NA SAFARI YA WASHINGTON DC SEPTEMBER MOSI HADI TATU.
MHE. RAIS SAMIA APONGEZWA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI YA
KUPIKIA KWA VITENDO
-
-Mitungi ya gesi 330 kugaiwa bure kwa Watumishi Magereza Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amepongezwa kwa kute...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment