Habari za Punde

Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu Katika Biashara Mbioni Kukamilishwa

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe.Iddi Ramadhani Mapuri akiongea na washiriki wa kikao cha wadau wa haki za binadamu wakati akifungua mkutano huo uliofanyika katika ofisi za Tume zilizopo jijini  Dar es Salaam Agosti 23, 2017. Kulia kwake ni Kamishna Mkaazi wa Tume Zanzibar, Mhe. Mohamed Hassan na Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Haki za Binadamu, Francis Nzuki
Mkurugenzi wa Haki za Binadamu, Francis Nzuki akiongea katika kikao cha wadau wa haki za binadamu mara baada ya Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe.Iddi Ramadhani Mapuri (katikati) kufungua rasmin mkutano huo.
Mmoja wa watoa mada ya haki za binadamu na biashara, Bi.Nora Gotzmann akiwasilisha mada yake iliyohusu masuala ya Biashara na Haki za Binadamu, jinsi ya kulinda, kuheshimu na namna ya kupata utatuzi wa migogoro inapojitokeza.
Mratibu wa Mradi wa kuandaa Mpango kazi wa Haki za Binadamu na Biashara kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jovina Muchunguzi akiongea na washiriki wa kikao hicho cha wadau wa haki za binadamu wakati akiwasilisha mada.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo wakijadiliana namna ya kuboresha Mpango kazi huo
Mmoja wa washiriki katika mkutano huo,Constantine Mugusi akifafanua jambo kwa wanakikundi wenzake wakati wa majadiliano ya kuboresha Mpango kazi huo.

Na MbarakaKambona,
Wadauwahakizabinadamukutokataasisimbalimbalizikiwemozaserikali, taasisibinafsinawafanyabiasharawamekutanakupitiarasimuya kwanza yamapendekezoyaMpangokaziwakitaifawaHakizaBinadamukatikabiashara.
WadauhaowalikutanaAgosti 23, 2017 katikakikaokilichofanyikakatikaofisizaTumeyaHakizaBinadamujijini Dar es Salaamkujadilirasimuhiyokufuatiautafitiuliofanywanawataalamunamaoniyaliyokusanywakutokakatikamaeneombalimbaliyabiashara.
Akizungumzawakatiwakufunguamkutanohuo, MakamuMwenyekitiwaTumeyaHakizaBinadamunaUtawalaBora,Mhe.IddiRamadhaniMapurialisemakuwakuanzishwakwampangohuokumelengakatikakuhakikishakuwamifumoyoteyakitaifanakimataifaya sera nasheriainazingatianaulinzinautetezihakizabinadamuwakatiwotewautekelezajiwamajukumuyakibiasharanakuwekamifumoyautatuziwamigogoroyawaathirika pale itakapojitokeza.
Utafitihuoambaoulifanyika Mei, 2017ulihusishawadaumbalimbaliwakiongozwanaTume,zikiwemotaasisizaserikali, taasisibinafsi,wafanyabiasharanawananchiulifanyikakatikamaeneomaalumyaliyochaguliwaikiwemomaeneoyakilimokatikaMkoawaMbeya- Mbarali, MaeneoyaviwandaMkoani Dodoma naSingidanamaeneoyaUtaliiupandewa Zanzibar uliofanyika.
Utafitihuounafuatiatamko la Baraza la HakizaBinadamu la UmojawaMataifalilitolewamwaka 2011 linalotakanchiwanachamakuanzishaMpangokaziwakitaifawaHakizaBinadamukatikamaeneoyabiasharailikutoamuongozowa kulinda uvunjifuwahakizabinadamukatikamaeneohayo.
MkurugenziwaHakizaBinadamu, Francis NzukiwakatiakiongeanawaandishiwahabarikatikamkutanohuoalitoamifanokadhaawaliyoionawakatiwautafitihuomojawaponikatikamaeneoyaKilimoambapowakulimawaliowengiwanatumiadawambalimbalikatikakuzalishamazaoyaokituambachokwanamnamoja au nyingineinahatarishamaishayawatunamazingirayao,hivyonivyemashughulihizozikawekewamiongozoilikuepushaatharizinazowezakujitokezabaadae.
Aidha, Mhe. IddiRamadhaniMapurialitumianafasihiyoyamkutanokuwakumbushawadaunawananchikwaujumlakwambautetezinaulinziwahakizabinadamusiowaserikali, taasisibinafsiwalawafanyabiasharapekeyao,balinijukumu la watuwote.
Piaaliwakumbushawadaukuwakaziiliyombeleyaoyakuandaampangohuonikubwahivyoufanisiwaokatikamaandaliziyampangohuoutasaidianakurahisishautekelezaji wake kitaifanakimataifa.
MchakatowamaandaliziyampangohuounatokananaahadiyaSerikaliiliyoiwekakatikaMpangokaziwaKitaifawaHakizaBinadamu (NHRAP) wamwaka 2013-2017 ambapoSerikaliilifungaahadiyakuanzakuandaampangoendelevuwaHakizaBinadamukatikamaeneo la biashara.
Mchakatohuounafadhiliwanataasisiya Denmark, Danish Institute for Human Rights (DIHR) na Centre for Research on Multinational Corporation (SOMO).
.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.