Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Apokea Mwenge wa Uhuru Baada ya Kumaliza Mbio Zake Katika Mikoa Yote ya Zanzibar na Tanzania Bara Viwanja Vya Amaan Zanzibar.

Wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 wakiwa na Mwenge huo baada ya kumaliza Mbio zake katika Mikoa yote ya Zanzibar na Tanzania Bara, maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya amaan Zanzibar na Kuadhimisha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa.
Wakimbiza Mwenge Kitaifa wakiwa na Mwenge huo wakielekea kumkabidhi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kumaliza Mbio zake katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa tayari kuopokea Mwenge wa Uhuru baada ya kumaliza Mbio zake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika Viwanja vya Amaan Zanzibar. 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akikabidhi Vyeti kwa Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka huu 2017, baada ya kumaliza mbio hizo katika viwanja vya Amaan Zanzibar. 

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea taarifa ya mbio za mwenge kutoka kwa kiongozi wa mbio hizo Amour Hamad Amour baada ya kukamilika kwa mbio hizo kwa Mikoa yote ya Zanzibar na Tanzania Bara.  
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour baada ya kukamilisha mbio hizo na kuzindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Wilaya na Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar. Hafla hiyo ya kilele cha Mbio za Mwenge zimefanyika katika Viwanja Vya Amaan Zanzibar.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour akisoma Taarifa za Mwenge wa Uhuru kutoka katika Mikoa mbalimbali iliopita Mwenge kabla ya kumkabidhi taarifa hiyo Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Amaan Zanzibar. 
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Amour Hamad Amour akimkabidhi Taarifa za Mwenge wa Uhuru kutoka katika Mikoa mbalimbali iliopita Mwenge kabla ya kumkabidhi taarifa hiyo Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Amaan Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.