Habari za Punde

Ujumbe wa Oman Katika Meli ya Kifahari ya Fulk Al Salama Waondoka Zanzibar leo.Baada ya Ziara Yao ya Siku Nne.

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mh,Rashid Ali Juma kushoto akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wapili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed wapili kushoto na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh watatu kushoto wakiangalia Ngoma za Utamaduni kabla ya kuondoka Zanzibar na kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman FULK AL SALAMAH.
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mh,Rashid Ali Jumaakipeana mikono na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh ikiwa ni ishara ya kuagana na kuondoka Zanzibar kuelekea Dar es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wapili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed akipeana mikono na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh ikiwa ni ishara ya kuagana na kuondoka Zanzibar kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wapili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara ya Siku Nne alioifanya Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh pamoja na ujumbe wake kabla ya kuondoka na kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mh,Rashid Ali Juma akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara ya Siku Nne alioifanya Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh pamoja na ujumbe wake kabla ya kuondoka na kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman
Balozi mdogo wa Oman katika jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaefanyia kazi zake Zanzibar Dkt, Mohammed Bin Hamad Al Rumh akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara ya Siku Nne alioifanya Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt,Mohammed Bin Hamad Al Rumh pamoja na ujumbe wake kabla ya kuondoka na kuelekea Dare es Salaam kwa Meli ya Kifahari ya Sultani Qabous wa Oman FULK AL SALAMAH.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.